Story from saidy, saidyjumah@gmail.com

posted 12 Nov 2015, 06:45 by A Visitor   [ updated 12 Nov 2015, 06:46 ]
INA LANGU TWAIN SAID JUMA NIMEZALIWA TANZANIA KTK MKOA WA MWANZA MNAMO MWAKA 1989 NIMESOMA MPAKA ELIM YA SECONDARI AMBAPO NIMEHITIM KIDATO CHA NNE KTK SHULE YA SECONDARI MBUGANI ILIOPO JIJINI MWANZA BINAFSI SIKUFANIKIWA NA KUENDELEA NA MASOMO YA O LEVEL KWA SASA NAJISHUGHULISHA NA KAZI BINAFSI ZA KUFANYA EDITING ZA PHOTO,MOVE NA LOGO CREATOR MBALIMBALI NAPENDA USHILIKIANO NA WENZANGU KTK UJENZI WA TAIFA NA NAPENDA SANA VIJANA WANAOJITUMA KWANI NAELEWA VIJANA NDIO NGUZO YA TAIFA LETU LA KESHO KWA HIYO INATUPASA TUFANYE KAZI KWA BIDII ILI TULIINUE TAIFA LETU KIUCHUMI NA KISIASA .KWA SASA BADO SIJAPATA OFICE YA KUFANYIA KAZI ZANGU ILA NIPO TAYALI KWA YOYOTE ATAKAYE JITOREA KUNIDHAMINI AU KUNIPATIA KAZI INAYOHUSIANA NA MAMBO NINAYOYAFANYA.TOGETHER WE WILL WIN . KTK WEB SITE HII NDANI UTAWEZA KUONA BAADHI YA KAZI ZANGU NILIZOFANYA NA NA NITAKAZO FANYA KTK MOVIE NINAFANYA ZAIDI ACTION EFFECT ILA KWA SASA SINA STUDIO NA SIJAAJILIWA KTK STUDIO YOYOTE BADO NAFANYA PRIVATE WORK{KAZI BINAFSI} NATOA RUHUSA KWA DIRECTOR AU MTU YEYOTE ATAKAE PENDA TUFANYE NAE KAZI NIPO TAYARI KWA MOYO OTE PIA KWA MTU ATAKAE TAKA USHILIKIANO NA MIMI PIA NIPO TAYARI KUSHILIKIANA NA MTU YEYOTE PASIPO KUANGALIA KIWANGO CHOCHOTE ALICHONACHO KWANI SIKU ZOTE MIMI NAAMINI UMOJA NI NGUVU DAIMA SABABU PENYE WENGI KUNA MENGI NAIMANI WATANZANIA TUKISHILIKIANA NASI TUTAWEZA KUFIKA PALE WALIPO FIKA WENZETU WA NCHI ZA NJE KTK MOVIE TECNOLOGE MWISHO NACHOTAKA KUWAOMBA WATU OTE TUWE NA USHILIKANO KTK MAMBO YA KIMAENDELEO KAMA ZINAVYOFANYA NCHI ZILIZOENDELEA ILI NASI TUWEZE KUPATA KUPIGA ATUA KWA KASI LEO NA KESHO TUFIKE TUNAPO PAHITAJI PIA TUSITAMANI KUFIKA SEHEMU UKIWA PEKE YAKO KWANI HATA BABA ADAMU ALILETEWA MAMA YETU HAWA NDIO AKAWEZA KUUJENGA ULIMWENGU WAKIWA WAWILI SO USHILIKIANO NI SIRI YA MAFANIKIO.
Comments